Mastaa wa kike wenye ‘followers’ wengi Instagram

HomeBurudani

Mastaa wa kike wenye ‘followers’ wengi Instagram

Orodha hii inahusisha mastaa wa kike ambao ni Watanzania tu, kwa kuangalia ‘followers’ (wafuasi) wao kwenye mtandao wa ‘instagram’ hadi kufikia Septemba 6,2021 :

5. Vanessa Mdee 

Mtanzania huyo aishiye Marekani, ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki, ana ‘followers’ milioni 7.4

4. Jokate Mwegelo / Jacqueline Wolper

Mkuu wa Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam Jokate Mwegelo ana ‘followers’ milioni 7.9. Idadi hiyo ni sawa na ‘follower’ wa muigizaji na mfanya biashara Jacqueline Wolper.

3. Shilole

Kwa kipindi kirefu ametajwa kama mwanamuziki wa kike mwenye followers wengi zaidi Afrika Mashariki, lakini kwa uwepo wa Hamisa Mobetto kwenye muziki hilo haliko hivyo tena. Shilole ana ‘followers’ milioni 8.2.

2. Hamisa Mobetto.

Yupo kwenye muziki, maigizo na biashara. Ana ‘followers’ milioni 8.3.

1.Wema Sepetu

Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006, ana ‘followers’ milioni 8.9.

 

error: Content is protected !!