Matukio katika picha Rais Samia Suluhu akiwa Zambia

HomeKitaifa

Matukio katika picha Rais Samia Suluhu akiwa Zambia

Rais Samia Suluhu ameweka shada Mnara wa Uhuru wa Zambia na kaburi la Rais wa Kwanza wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda.

Leo Zambia inaadhimisha miaka 59 tangu ipate Uhuru kutoka kwa Waingereza mwaka 1964 na tukio la kuweka shada hufanywa kila mwaka wakati wa maadhimisho haya.

Rais Samia amealikwa kuwa mgeni rasmi kwenye tukio la maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru litakalofanyika baadaye leo kwenye Ikulu ya Zambia.

error: Content is protected !!