Mbeya sasa kuna njia nne

HomeKitaifa

Mbeya sasa kuna njia nne

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mbeya mjini, Humphrey Nsomba amempongeza Mwenyekiti wa chama hicho Taifa na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya njia nne inayotoka Lujewa mpaka Tunduma.

Amesema kwa mara ya kwanza mkoa huo umepata barabara ya njia nne “Barabara ambayo unaenda kuweka alama na haitasahaulika, mkoa wa Mbeya haujawahi kuwa na barabara njia nne, tunakushukuru kwa kazi kubwa na umetoa maelekezo ianze kujengwa,”amesema Nsomba.

error: Content is protected !!