Meme ya P2 yamuibua Ummy Mwalimu 

HomeKitaifa

Meme ya P2 yamuibua Ummy Mwalimu 

Meme ni maneno au picha zenye ujumbe wakuchekesha ambazo watu hutumiana kwa lengo la kufurahishana, meme hiz zimekuwa zikibeba jumbe mbalimbali na moja wapo iliyosambaa sana leo ikiwa ni baada tu ya siku ya wapendao kupita ni yenye ujumbe wa ‘Amka Umeze P2’.

Kati ya watu waliofikiwa na ujumbe ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye amechapisha meme hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kueleza kwamba watu sione tu kama ujumbe huo ni kichekesho bali ni ukweli na serikali inatafuta namna yakuzifanya dawa hizo kuuzwa bila vikwazo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Ummy Mwalimu (@ummymwalimu)

error: Content is protected !!