Miriam Odemba: Kajala akamatwe

HomeBurudani

Miriam Odemba: Kajala akamatwe

Mwanamitindo na Mshindi wa taji la Miss East Africa 1998, Miriam Odemba amemkingia kifua Harmonize na kuwaomba Watanzania na polisi kuingilia kati suala hili na kuhakikisha Kajala anakubali ombi la msanii huyo.

Miriam amendika kwenye ukurasa wake wa Instagram kwamba anaelewa anachopitia Harmonize kwani hata yeye anapitia hali hiyo kwa kinda kutoka lebo ya Konde Gang, Ibraah.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Miriam Odemba (@miriamodemba)

Katika ujumbe huo, Miriam pia amewaomba wananchi wanamuunga mkono Harmonize kama ambavyo wanafnya kwenye kazi zake za sanaa.

error: Content is protected !!