Morrison arejea Yanga SC

HomeMichezo

Morrison arejea Yanga SC

Klabu ya Young Africans SC imetangaza rasmi kumrejesha winga wake Mghana, Bernard Morrison mwenye umri wa miaka 29 kutoka kwa watani zao Simba SC.

Morrison anakuwa mchezaji wa pili wakimataifa kutambulishwa na Yanga kuelekea msimu ujao .

error: Content is protected !!