Munalove atamani uislamu

HomeBurudani

Munalove atamani uislamu

Mjasiriamali kutoka nchini Tanzania na mmiliki wa Patrick Foundation, Munalove ameonyesha nia yakutaka kubadili dini yake na kuhamia kwenye usilamui baada yakuuliza kupitia ukurasa wake wa Instagram kama watampokea au watamsema.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by MUNALOVE (@munalove100)

error: Content is protected !!