Nafasi 600 za kazi zatangazwa

HomeKitaifa

Nafasi 600 za kazi zatangazwa

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 600 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.

TANGAZO LA KAZI SEPTEMBA 17
error: Content is protected !!