Pastor Myamba apata ajali

HomeKitaifa

Pastor Myamba apata ajali

Emmanuel Myamba maarufu kama Pastor Myamba ametoa taarifa ya kupatwa na ajali mbaya yeye pamoja na familia yake wakati wakielekea kwenye ibada.

Ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kusema kwamba hakuna mtu aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo wote wapo salama.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by I Am (@pastormyamba)

error: Content is protected !!