Faru Rajabu afariki

HomeKitaifa

Faru Rajabu afariki

Shirika la Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa taarifa kuhusu kifo cha Faru Rabaju aliyefariki usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2022 akiwa na miaka 43 huku chanzo kikiwa ni uzee.

Faru Rajabu ni mtoto wa Faru John aliyefariki mwaka 2015 kutokana na umri wa umri wake (47), Faru Rajabu ameacha watoto, wajukuu na vitukuu.

 

error: Content is protected !!