Rais ajiuzulu

HomeKitaifa

Rais ajiuzulu

Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaska amejiuzulu rasmi leo alhamisi Julai 14,2022 akiwa Singapore.

Rais huyo aliamua kukimbia nchi yake siku ya Jumanne baada ya waandamaji kuvamia ikulu na kumtaka ajiuzulu kwa kile kinachodaiwa ameshindwa kuiongoza nchi mpaka kufilisika.

SOMA ZAIDI

Rais ajiuzulu

 

error: Content is protected !!