Rais Samia aachia huru wafungwa 3826

HomeKitaifa

Rais Samia aachia huru wafungwa 3826

Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali kama ilivyoainishwa;

error: Content is protected !!