TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira

HomeKitaifa

TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira

Baada ya kuwa na malalamiko juu ya mfumo wa uombaji ajira kada ya elimu na afya, Ofisi ya Rais- TAMISEMI imesema kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi vizuri kwa kasi ya kutosha na mpaka tarehe 25.04.2022 saa nne usiku waombaji wa Kada ya Ualimu walikua 69,813 na Kada ya Afya ni 13,683.

Jumla ya Waombaji wote ni 83,514. Waombaji wote hawa wameomba kupitia mfumo ajira.tamisemi.go.tz kwa muda wa siku tano tu. Hivyo ni takribani waombaji 16,703 huwasilisha maombi kwa siku.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by OFISI YA RAIS TAMISEMI (@ortamisemi)

error: Content is protected !!