Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 376

HomeKitaifa

Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 376

Wafungwa 376 watanufaika na msamaha huu ambapo 6 wataachiliwa huru tarehe 26/04/2023 na 370 watabaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa msamaha huu.

Image

Image

Image

error: Content is protected !!