Rais Samia awapongeza Ramadhan Brother’s

HomeKitaifa

Rais Samia awapongeza Ramadhan Brother’s

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Samia Suluhu Hassan amewapongeza vijana wa Kitanzania Ibrahim (36) na Fadhil Ramadhan (26) wanaounda kundi la Ramadhani Brothers ambao  wamefanikiwa kutinga nusu fainali ya mashindano ya Australia’s Got Talent baada ya kupata ‘Golden Buzzer’ kwenye mashindano hayo kwa kuwaibua majaji kwenye onesho la usiku wa Oktoba 16, 2022.

error: Content is protected !!