Rais Samia awapongeza Yanga SC

HomeMichezo

Rais Samia awapongeza Yanga SC

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufanikiwa kuingia kwenye hatua ya makundi ya mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika , baada ya kuifunga Club Africain bao 1-0 nchini Tunisia jana.

“Kongole Yanga kwa ushindi na kufanikiwa kusonga mbele katika michuano ya soka la wanaume kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, msimu wa 2022/2023. Nawatakia kila la kheri katika hatua inayofuata,” Rais Samia Suluhu.

error: Content is protected !!