Riri na ASAP: Mtasubiri, bado sana

HomeBurudani

Riri na ASAP: Mtasubiri, bado sana

Mtu wa karibu wa Rihanna ametoa taarifa kwamba Riri pamoja na rapa ASAP Rocky hawajaachana kama inavyodaiwa, chanzo hiko kinadai kwamba wawili wapo vizuri.

Pia amesema kuhusu Amina ambaye anadaiwa kuwa kwenye mahusiano na ASAP ni mtu wa karibu sana na Rihanna kwani ni mwanamitindo wake wa viatu kwenye kampuni ya Fenty.

Chombo cha habari nchi Marekani, TMZ kimeripoti kwamba mtu huyo wa karibu na Rihanna amesema taarifa zilizosambaa za kuachana kwa wawili hao ni za uongo.

error: Content is protected !!