Romy Jons aomba msamaha

HomeBurudani

Romy Jons aomba msamaha

Dj na kaka wa msanii Diamond Platnumz, Romy Jons amewaomba radhi mashabiki zake, marafiki , mashabiki , mke wake na Watanzania kwa ujumla kwa yale yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii.

Hivi karibuni Mange Kimambi aliaminisha umma kwamba ameweka video ya utupu wa Romy Jons kwenye mtandao wake wa MangeKimambi App jambo lililozua maneno mengi kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram huku mashabiki wa Dj huyo wakisema huenda msamaha huo unahisika na video aliyoichapisha Mange.

Romy Jons ameweka msamaha huo kwenye ukurasa wa Instagram.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by “RJTHEDJ” (@romyjons)

error: Content is protected !!