Rose Ndauka: Naacha muziki na kuigiza

HomeBurudani

Rose Ndauka: Naacha muziki na kuigiza

Msanii na Muigizaji kutoka nchini Tanzania, Naureen Mkongwa maarufu kwa jina la kisanaa Rose Ndauka, ametangaza kuachana na kazi zozote zinazojihusisha na sanaa akimaanisha kuimba na kuigiza.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rose ameandika kwamba ameamua kuachana na kazi hizo za sanaa baada ya kutopata faida, kudharauliwa na kushushiwa heshima.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Rose Ndauka (@iamrosendauka)

error: Content is protected !!