Sabaya aachiwa

HomeKitaifa

Sabaya aachiwa

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzie wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga adhabu ya miaka 30 jela na kuachiwa huru.

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imewaachia huru Sabaya na wenzie kwasababu mbalimbali ikiwemo kuwa Mrufani namba mbili, Silvester Nyegu na namba tatu Daniel Mbura hawakupata nafasi ya kumhoji mshitakiwa hivyo kumnyima haki ya msingi.

jaji Kisanya amesema mashahidi hao watakuwa huru endapo hawana kesi nyingine kwenye mahakama nyingine.

error: Content is protected !!