TCRA waifungia video ya ‘Mtasubiri”

HomeBurudani

TCRA waifungia video ya ‘Mtasubiri”

Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu ya “Mtasubiri sana’ baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani.

Kipande cha video cha Mtasubiri kikimuonyesha Zuchu akiwa Kanisani

 

error: Content is protected !!