Taarifa kwa umma kutoka Wizara ya Afya kuhusu magonjwa ya milipuko na matukio yanayoathiri afya ya binadamu hapa nchini.