Tag: Bunge la Tanzania
Magazeti ya leo Februari 10,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Februari 10,2023.
[...]
Bil 2.6 zalipwa na NSSF kwa vyeti feki
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jmaii (NSSF) imetumia Sh bilioni 2.6 kuwalipa watumishi 183 waliofutiwa ajira kwa kukutwa na vyeti feki.
Taarifa hiyo [...]
Magazeti ya leo Februari 8,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Februari 8,2023.
[...]
Lita 910 zingine za dizeli SGR zakamatwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema wamefanikiwa kukamata lita 910 za mafuta aina ya dizeli yanayotumika katika mradi wa Reli [...]
Rais afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
(1) Amemteua Bi Janet Zebedayo Mbene kuwa Mwenyeki [...]
Magazeti ya leo Februari 3,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Februari 3,2023.
[...]
Rais Samia afanya utenguzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za Viongozi wafuatao:-
1. Bw. Reuben Ndiza Mfune, Mku [...]
Wito wa Rais Samia kuhusu uwekezaji wavutia kampuni 400 kutoka Ulaya
Akiwa kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa (Dubai Expo), Rais Samia Suluhu Hassan aliwaalika wawekezaji na wafanyabiashara waliohudhuria mkutano h [...]
Uzalishaji Umeme na gesi asilia waongezeka nchini
Wizara ya Nishati imesema uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa gridi ya taifa umeongezeka na kufi kia megawati 1,777.05 Dese [...]
Magazeti ya leo Januari 23,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Januari 23,2023.
[...]

