Tag: Bunge la Tanzania

1 27 28 29 30 31 78 290 / 775 POSTS
Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air

Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air

WALIOPELEKWA HOSPITALI 1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM 2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA 3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE 4. DR FE [...]
Awamu ya 6 yakamilisha Zahanati iliyoanza kujengwa 2000

Awamu ya 6 yakamilisha Zahanati iliyoanza kujengwa 2000

Wananchi wa Kijiji cha Nambogo Manispaa ya Sumbawanga, wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa zahanati yao iliyoanz [...]
Precision Air yazama ziwani

Precision Air yazama ziwani

Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6,2022. Taarifa kutoka katika mtand [...]
Serikali kutoa bima ya afya bure kwa Watanzania mil. 4.5

Serikali kutoa bima ya afya bure kwa Watanzania mil. 4.5

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali imekusudia kutoa bima za afya kwa wote kwa watanzania milioni 4.5 sawa na asilimia 30 ya watu milioni 15 [...]
Magazeti ya leo Novemba 4,2022

Magazeti ya leo Novemba 4,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 4,2022. [...]
Ziara ya Rais Samia China itakavyofungua fursa ya fursa

Ziara ya Rais Samia China itakavyofungua fursa ya fursa

Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini China kufuatia mualiko alioupata kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping, inaenda kufungua mil [...]
Mgao wa umeme Dar kupungua ifikapo Desemba

Mgao wa umeme Dar kupungua ifikapo Desemba

Serikali imesema makali ya mgao wa umeme nchini yanaweza kupungua mwezi ujao wa Novemba baada ya kukamilika kwa miradi ya umeme ukiwemo wa Kinyerezi I [...]
Magazeti ya leo Novemba 3,2022

Magazeti ya leo Novemba 3,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 3,2022. [...]
Tanzania yaongoza kuwa na Nyati wengi barani Afrika

Tanzania yaongoza kuwa na Nyati wengi barani Afrika

Tanzania inatajwa kuwa nchi inayongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya nyati barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati 191,805. Hayo yamesemwa na Waziri [...]
Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti

Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti

Mikoa mitano imetajwa kuwa vinara wa ukataji miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji. Mikoa hiyo iliyotajwa kuharibu misitu na miti asili kwa kiasi [...]
1 27 28 29 30 31 78 290 / 775 POSTS
error: Content is protected !!