Tag: Bunge la Tanzania
Magazeti ya leo Septemba 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 16,2022.
[...]
Ajali Mbeya yaua DED wa Igunga
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Fatuma Latu amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari katika eneo la Inyala, [...]
Faida 3 za kutovaa nguo za ndani
Kama ulikua unajisikia vibaya pindi uvaapo chupi basi sasa unaweza kuwa na amani na kuacha kuzivaa kwani kuna faida endapo utaacha.
Zifuatazo ni fa [...]
Mikoa 18 kukosa umeme leo Septemba 13
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuhusu kukosekana kwa umeme katika mikoa 18 nchini.
[...]
Wanaojaribu kujiua wasishtakiwe
Madaktari wanaotibu magonjwa ya afya ya akili, wameiomba serikali kupitia upya sheria inayowafunga watu wanaofanya jaribio la kujiua ili wapatiwe tiba [...]
Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii kutoka lebo ya Wasafi ameweka wazi kwamba amemshtaki Ostaz Juma, TCRA baada ya kumdhihaki na kuongea maneno [...]
Samia: Hakuna upungufu wa chakula
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Tanzania ina chakula cha kutosha na hakuna tishio la kuwa na uhaba.
Alibainisha hayo jana katika uwanja wa Be [...]
Rais amfukuza kazi waziri mkuu akihofia kupinduliwa
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amemfuta kazi waziri mkuu na msaidizi wake mkuu katika msako mkubwa jana baada ya kuonya kuhusu njama za mapind [...]
Tanzania, Venezuela zasaini makubaliano ya kisiasa
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Venezuela zimesaini Hati za Makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kisiasa na mkataba wa ushirikiano katika nyanja m [...]
Orodha ya vituo vya afya 234 vilivyojengwa kwa fedha za tozo za miamala ya simu Tsh. Bilioni 117
Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa orodha ya vituo vya afya 234 vilivyojengwa kwa fedha za tozo za miamala ya simu Shilingi bilioni 117.
[...]

