Tag: Bunge la Tanzania
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Zakhia Hamdan Meghji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayans [...]
Rais Samia ataja vigezo vya kuteua viongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 1,2022 amewaapisha viongozi wateule Ikulu, Dar es Salaama na kutaja vigez [...]
Simba wasaini bilioni 26.1 na M- Bet
Klabu ya Simba ya Dar es Salaam na Kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet, leo wametangaza mkataba wao wa udhamini wa miaka mitano wenye thamani ya [...]
Bakuli latembezwa na Chadema kuwakabili kina Mdee
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuchangisha fedha kutoka kwa wanachama wake, kugharamia mawakili watakaosimamia kesi ya waliokuwa [...]
Bandari ya Dar inavyoimarisha soko la biashara
Ripoti mpya ya GBS Africa imeonyesha kwamba upanuzi mkubwa na uboreshaji wa ufanisi katika bandari kuu ya Tanzania ya Dar es Salaam umeiwezesha kutoa [...]
Aahidi kufunga taa na kamera Uwanja wa Ndege hadi Posta
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema Serikali ya Mkoa wake inakusudia kufunga taa na kamera za barabarani kuanzia Uwanja wa Ndege wa Mwa [...]
Magazeti ya leo Julai 30,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Julai 30,2022.
[...]
Ushauri wa Kinana kuhusu trafiki waanza kufanyiwa kazi
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kwamba tayari umeanza kufanyia kazi ushauri uliotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapunduzi (CCM) Tanzania Ba [...]
Walioathiriwa na ajali ya basi Mtwara kulipwa fidia
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imeiagiza kampuni ya bima ya Reliance ihakikishe waathirika wote wa ajali iliyoua watu 13 wakiwemo watoto [...]
Magazeti ya leo Julai 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 28,2022.
[...]

