Tag: Freeman Mbowe
Fahamu miji 8 mizuri barani Afrika
Vyombo vingi vya habari hasa nje ya Afrika, hulizungumzia bara la Afrika kama masikini lenye mazingira ambayo siyo rafiki na kuonyesha picha zenye kue [...]
Afariki dunia baada kunywa pombe bila kula
Asia Eliya (24), Mhudumu wa baa Nyemo amefariki dunia kwa madai ya kunywa pombe kupita kiasi bila kula chakula.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Picha ya Ndeg [...]
Rais Samia atoa kibali cha ajira kwa watumishi 21,200
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya.
Idad [...]
Magazeti ya leo Aprili 12,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Aprili 12,2023.
[...]
Rais Samia apongezwa na Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amempongeza na kumshukuru Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuu [...]
Wilaya 64 kujengwa vyuo vya ufundi stadi
Serikali imesema imetenga Sh bilioni 100 kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi, katika wilaya 64 ambazo zilikuwa hazijajengewa vyuo hivyo.
A [...]
Magazeti ya leo Aprili 11,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Aprili 11,2023.
[...]
ACT- Wazalendo wataka mfumo wa Air Tanzania kufumuliwa
Chama Cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kubadili haraka mfumo wa uendeshaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ili kuliepusha na hasara ambayo ime [...]
Madudu ukaguzi maalum wa CAG REA 2015/2016 mpaka 2019/2020
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020.
Ukaguzi umefanyik [...]
Ziara ya Rais Samia Qatar yazidi kuvuta wawekezaji
Tangu ashike kijiti cha kuiongoza Tanzania, Rais Samia Suluhu amekuwa akienda kwenye ziara mbalimbali nje ya nchi jambo lililo ibua mitazamo tofauti h [...]