Tag: Freeman Mbowe
Serikali kuongeza pensheni kwa wastaafu
Serikali ya Tanzania imesema itaongeza malipo ya mkupuo ya kikokotoo cha pensheni ya wastaafu kutoka asilimia 33 iliopo sasa hadi asilimia 40 lengo li [...]
Uchumi wakua kwa asilimia 5.4
Serikali imesema mikakati ya kukabiliana na athari za vita katika eneo la Ukraine pamoja na uwekezaji katika sekta za kilimo, nishati, maji, ujenzi, m [...]
“Uoga tulionao tuuvue”- Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema alifokewa na wajumbe wa NEC wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipoamua kuruhusu vyama vya siasa kuanza mikutano ya hadhar [...]
Matinyi: Serikali haijaweka rehani kitu chochote
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema mkopo wa Sh 6.5 trilioni uliikopwa na Serikali nchini Korea utalipwa kwa kipindi cha miaka 40 kuanzia [...]
Rais Samia kujenga chuo cha masuala ya anga Tanzania
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali ina mpango wa kujenga chuo cha masuala ya anga nchini Tanzania kwa kushirikiana na Chuo K [...]
Korea kuikopesha Tanzania Sh 6.5 trilioni
Tanzania imesaini tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA) na Jamhuri ya Korea utakaoiwezesha kupata mkopo wa Sh6.5 trilion [...]
Dkt. Kikwete kinara utafutaji fedha za kuimarisha elimu Afrika
Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) ameshiriki Mkutano wa Mwaka 2024 wa Ben [...]
Baraza la amani na usalama limesaidia kukabiliana na ugaidi Afrika
Rais Samia Suluhu hassan amesema Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika(AU) limezisaidia nchi za Afrika kujilinda dhidi ya matishio ya kiusalam [...]
Rais Samia kuwa mwenyekiti mwenza mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia Ufaransa
Rais Samia Suluhu Hassan atasafiri kwenda Nchini Ufaransa kuhudhuria na kuwa Mwenyekiti mwenza wa mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia unao [...]
Fahamu sababu za kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei wa Taifa
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Aprili, 2024 umeongezeka kidogo hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka ulioishia mwezi Mach [...]