“Uoga tulionao tuuvue”- Rais Samia

HomeKitaifa

“Uoga tulionao tuuvue”- Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan amesema alifokewa na wajumbe wa NEC wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipoamua kuruhusu vyama vya siasa kuanza mikutano ya hadhara pamoja na maandamano akiwataka viongozi wengine serikalini kuacha uuoga ili kutimiza malengo.

“Ule uoga tulionao tuuvue. Tuliposema achani vyama vifanye kazi zao walinifokea na sasa wakinitukana wanasema waache yakukute uliwaruhusu … wameandama kimetokea nini, tulikuwa na hofu tu,” amesema wakati wa kupokea gawio Ikulu jijini Dar es Salaam.

“Kwa muoga kilikwenda kicheko kwa shujaa kikaenda kilio” sio maeneo yote.

 

error: Content is protected !!