Tag: Freeman Mbowe
Rais Samia aagiza mkakati wa nishati safi kutafsiriwa kwa lugha mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan ameiagiza wizara ya nishati kuhakikisha Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi [...]
Uboreshaji wa miundombinu ya bandari wakuza mapato
Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho amesema maboresho yalifanywa na Serikali katika bandari za Tanzania yamechangia kwa kiasi kubwa [...]
Marufuku kuvuta sigara hadharani
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act [...]
Rais Samia: tuwaenzi waasisi wetu kwa vitendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania wote kuenzi kwa vitendo muungano ulioanzishwa na waa [...]
Rais Samia awakaribisha Waturuki kuwekeza nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Uturuki kuwekeza nchini Tanzani [...]
Fahamu mambo atakayofanya Rais Samia Uturuki
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kuanzia leo Aprili 17 hadi 20, 2024 kufuatia mwaliko wa Rais wa [...]
Rais Samia: Nawatakia kheri ya Sikukuu ya Eid al- Fitr
RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelee kudumisha haki, umoja ,amani na mshikamano kwenye Sikukuu ya Eid al -Fitr.
Kupitia kuras [...]
17 waokolewa meli iliyozama DRC
SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesema watu 17 wameokolewa katika tukio la kuzama Meli ya MV Maman Benita kwenye Ziwa Tanganyika, iliyo [...]
Sh. milioni 150 zatengwa kujenga barabara korofi Iringa
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Zainabu Katimba amesema serikali imeshaanza kujenga barabara korofi ya Ilula Image na Ibumu mkoani Iringa .
Ak [...]
Treni ya mchongoko yawasili
Serikali imepokea seti ya kwanza ya treni ya umeme ya ‘Electric multiple unit’ (EMU) yenye vichwa vitano mchomoko na mabehewa matatu, Waziri wa Uchuku [...]