Tag: habari kubwa za michezo
MBOWE: Hatutaki fedha za ruzuku
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake hakitachukua Sh110 milioni za ruzuku ya Serikali kwa sababu kwa kufanya hivyo wata [...]
KENYA: Polisi takribani 2,000 wanamatatizo ya akili
Takriban maafisa 2,000 wa polisi wa Kenya hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao, mkuu wa huduma ya kitaifa ya polisi nchini anasema.
Inspekta Je [...]
Mabasi ya AFCON karibu yote yapotea
Takriban miezi miwili baada ya kumalizika kwa Fainali za Mataifa ya Afrika za 2021 nchini Cameroon, mabasi 89 mapya yaliyotumiwa kuendesha timu za tai [...]
SIMBA SC: Tunaomba Ulinzi
Klabu ya soka ya Simba imetoa taarifa kusikitishwa na kile wanachodai kuwa ni shutuma zilizotolewa na Kocha Msaidizi wa timu ya Orlando Pirates Mandla [...]
Afariki akiigiza filamu ya Yesu
Mwanafunzi wa Chuo cha Seminari cha Clariantian University nchini Nigeria, Suel Ambrose amedondoka na kufariki akiwa anaigiza filamu ya Yesu maarufu k [...]
Aliyemchinja mtoto auawa
Mzee mmoja mkazi wa Siha, Kilimanjaro amepigwa hadi kufa na wananchi wenye hasira kali baada ya kubainika kumchinjwa mtoto wa miaka miwili kijiji cha [...]
Zainab ammwagia mtu uji Zanzibar
Mkazi wa Mtaa wa Zanzibar, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Adamu Mohammed ameliomba Jeshi la Polisi limkamate mama mzazi wa mkewe, Zainab Ally kwa ma [...]
Idadi ya waliokufa maji yafikia 443
Watu 443 wamefariki dunia kufuatia mafuriko na mmomonyoko wa ardhi KwaZulu-Natal, nchini Afrika Kusini huku wengine 63 wakiendelea kutafutwa wasioneka [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Aprili 18,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Aprili 18,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watc [...]

