Tag: habari magazetini
Rais Samia: Wakati kuwekeza Tanzania ni sasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji na hivyo wawekezaji na wafanyabiashar [...]
Uboreshaji wa miundombinu ya bandari wakuza mapato
Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho amesema maboresho yalifanywa na Serikali katika bandari za Tanzania yamechangia kwa kiasi kubwa [...]
Daraja la Tanzanite kufungwa kila Jumamosi
Barabara inayoanzia Taasisi ya Saratani Ocean Road kupitia Hospitali ya Aga Khan hadi kwenye daraja la Tanzanite itafungwa kila siku ya Jumamosi kuanz [...]
Rais Samia: tudumishe muungani wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehutubutia taifa kuhusu miaka 60 ya Muungano huku akisisitiza katika kudumish [...]
Rais Samia awakaribisha Waturuki kuwekeza nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Uturuki kuwekeza nchini Tanzani [...]
Fahamu mambo atakayofanya Rais Samia Uturuki
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kuanzia leo Aprili 17 hadi 20, 2024 kufuatia mwaliko wa Rais wa [...]
Rais Samia asamehe faini za bili za maji
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassani ameelekeza Wizara ya Maji kupitia Mamlaka za Maji kutoa hamasa kwa Wateja wake kwa kusamehe madeni yao na k [...]
Neema kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023
Serikali imesema imefungua wigo kwa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kubadili machaguo ya tahsusi ‘combinations’ ya kidato cha tano, kozi za vyuo [...]
Miaka mitatu bila Magufuli, kazi inaendelea
Leo Rais Samia Suluhu Hassan anatimiza miaka mitatu madarakani akiwa kama Rais wa Tanzania baada ya kifo cha Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk. Jo [...]
Dkt. Kikwete aibuka kinara tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kiongozi bora wa mwaka 2023 katika Tuzo za Kiongozi Bora wa Afrika kwa Mwaka 2023 (African Leadership [...]

