Tag: habari magazetini
Magazeti ya leo Oktoba 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Oktoba 28,2022.
[...]
Mabehewa ya SGR yamkosha Waziri Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ameridhishwa na kasi ya utengenezwaji wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzan [...]
Magazeti ya leo Oktoba 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 26,2022.
[...]
Waziri Mkuu aenda Korea Kusini ziara ya siku tatu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini kwenda Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu [...]
Magazeti ya leo oktoba 24,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Oktoba 24,2022.
[...]
Moto Mlima Kilimanjaro
Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana, umezuka katika mlima Kilimanjaro, karibu na eneo la Karanga Camp lililopo urefu wa meta 3,963 kutoka [...]
Magazeti ya leo Oktoba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 22,2022.
[...]
Fahamu mapendekezo ya Kikosi Kazi kuhusu Katiba Mpya
Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa nchini Tanzania kimesema mchakato wa kupata Katiba mpya uendelee kwa ku [...]
Rais Samia: Msiijadili tu serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa vyama vya siasa kukaa na kujijadili namna vyama hivyo vinavyotenda [...]
China haifungui kituo cha polisi Tanzania
Watanzania wametakiwa kupuuzia taarifa iliyotolewa na idhaa ya kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuwa nchi ya China ina mpango wa [...]

