Tag: habari magazetini
Tanzania yapongezwa na Benki ya Dunia
Benki ya Dunia, imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, inayopata fedha kutoka kwenye [...]
Jeshi la Polisi kinara vitendo vya Rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini huku Jeshi la Polisi likishika nafasi y [...]
Magazeti ya leo Oktoba 13,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 13,2022.
[...]
Benki ya Dunia yaitengea Tanzania trilioni 5
Benki ya Dunia imeshukuriwa kwa kuitengea Tanzania dola za Marekani bilioni 2.1 sawa na shilingi trilioni 4.9 katika mzunguko wa 20 wa IDA (Julai 2022 [...]
Magazeti ya leo Oktoba 12,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 12,2022.
[...]
Sonona inavyoathiri wanawake kiakili
Watu milioni nchini wanaishi na ugonjwa wa sonona huku wengi wao wakiwa wanawake.
Kauli hiyo imetolewa jana Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Ummy M [...]
Magazeti ya leo Oktoba 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Oktoba 11,2022.
[...]
Tanzania na Kenya zapanga kuondoa vikwazo 14 vya biashara
Huenda uchumi wa Tanzania na Kenya ukakua zaidi kwa siku za usoni mara baada ya viongozi wakuu wa mataifa hayo kuwaagiza mawaziri wa biashara na uweke [...]
Fahamu chanzo cha kufeli kwa wanafunzi wa Shule ya Sheria
Anguko kwenye mtihani wa uwakili katika Shule Kuu ya Sheria Tanzania (LST) limefikia hatua mbaya na kuwaibua wanasheria na wadau wakitaka utafiti ufan [...]
Juhudi za Rais Samia zimepandisha uwezo wa Tanzania kukopesheka
Kutokana na hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu, viwango vya Tanzania vimepanda kwenye tathmini ya kukopesheka na kuvutia uwekezaji kutoka nje [...]

