Tag: habari za burudani
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Januari 28,2022
Hizi hapa video zinazopeta katika mtandao wa Youtube Tanzania Januari 28,2022. Husikubali kupitwa,
https://www.youtube.com/watch?v=9Iu9eovU2V0& [...]
Amina : Filamu yakuchangamsha wikiendi yako
Bara la Afrika lina historia ya muda mrefu na mashujaa wengi ambao tumekuwa tukiwasoma shuleni na vyuoni. Lakini mara nyingi tumekuwa tukisoma au kusi [...]
Amteka nyara mtoto wake, amuua kisha kujinyoga.
Mwanaume mmoja jijini Nairobi aliyetambulika kwa jina la Victor Aiyeko anasemekana kumteka nyara mtoto wake mwenye umri wa miaka 3, kumuua na kisha ku [...]
Athari 5 za pombe kwenye mwili wako
Tambua kwamba unapaswa kuangalia tabia zako za unywaji pombe kwani ukinywa wastani ina faida kwa mwili wako lakini mwili unaumizwa na kuharibikiwa end [...]
Maafisa 7 mbaroni mauaji ya mfanyabiashara Mtwara
Maafisa saba wa polisi wamefunguliwa mashtaka ya kifo cha Mussa Hamisi Hamisi, mfanyabiashara mwenye umri wa miaka ishirini na mitano aliyepigwa hadi [...]
Maeneo 7 ambayo yalichunguzwa kubaini chanzo cha moto Soko la Karume
Tume ya uchunguzi wa ajali ya moto uliotokea na kuteketeza Soko la Mchikichini maarufu Soko la Karume, Dar es Salaam jana iliwasilisha taarifa yake kw [...]
Magazeti ya leo Januari 25,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumanne Januari 25,2022. [...]
Afariki nyumba ya wageni baada ya kuzidisha vidonge vya kuongeza nguvu za kiume
Polisi nchini Kenya Kaunti ya Homa Bay wameanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha mwanaume mwenye umri wa miaka 55 aliyekutwa amefariki kwenye nyumba ya ku [...]
Nuh Mziwanda afuta tattoo ya Shilole
Aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki na mjasiriamali Zena Yusuf Mohammed maarufu kama Shilole, msanii Nuh Mziwanda hatimaye amefuta tattoo aliyokuwa a [...]
Wajasiriamali wadogo wanavyonufaika na ujenzi wa madarasa na vituo vya afya
Utekelezaji wa mradi wa vyumba vya madarasa kupitia fedha za mpango wa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko-19 na ule wa ujenzi wa vituo vya af [...]

