Tag: habari za burudani
Wavulana wakimbiza matokeo kidato cha sita 2023
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya mtihani ya kidato cha sita kwa mwaka 2023 huku ufaulu wa jumla kwa watahiniwa wa shule [...]
Matokeo kidato cha sita 2023, 11 wafutiwa
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya watahiniwa 11 wa kidato cha sita baada ya kubainika kufanya vitendo vya udanganyifu katika mti [...]
Ajira mpya 77 Kada za Afya
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imetangaza tena nafasi za ajira kwa kada za Afya 77 nakuwataka wa [...]
Tanzania haitakuwa kikwazo kwa ukuaji wa kiuchumi wa Malawi
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema uhuru wa Malawi una maana kubwa kwao kwani unakamilisha uhuru wao kama jirani huru na mshirika wa kiuchumi katika nj [...]
Mbunge wa Mbarali afaraki dunia
MBUNGE Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya, Francis Mtega amefariki dunia.
Taarifa iliyotolewa na Bunge leo Julai Mosi, 2023 inasema kuwa Mtega amepata a [...]
Rais Samia afanya uteuzi wajumbe wa NEC
Rais Samia Suluhu amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali.
[...]
Rais Samia apongezwa na USAID kwa mageuzi ya kiuchumi na kidemokrasia
Msimamizi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID), Bi. Samantha Power, amekiri azma ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kukuza mageuzi [...]
CNOOC ya China kufanya utafiti wa mafuta na gesi baharini Tanzania
Kampuni ya CNOOC Ltd ya China inapanga utafiti wa mafuta na gesi baharani kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Petroli la Tanzania ( TPDC) waka [...]
China yaahidi kuwekeza sekta ya nishati Tanzania
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Mfuko wa Uwekezaji wa China Africa Development Fund (CADFUND) umeonesha nia ya kuwekeza Tanzania katika sek [...]
TPDC, CNOOC ya China kushirikiana katika sekta ya gesi
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Kampuni ya China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) na Shirika la Maendeleo la Petroli la Tanzania(T [...]

