Tag: habari za burudani
Wanaume mnaopitia unyanyasaji toeni taarifa
Wanaume nchini wameshauriwa kutovumilia na kuficha vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa kwenye ndoa na kwenye familia zao.
Badala yake, wametakiwa ku [...]
Wanafunzi 150 kutoka Sudan wahamishiwa Muhimbili
Wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan wamehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbil [...]
Uchumi kukua kwa 5.2% mwaka 2023
Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua kwa kasi ya asilimia 5.2 mwaka 2023 kutoka asilimia 4.7 mwaka jana ukichochewa zaidi na sababu mbalimbali zikiwemo [...]
Deni la serikali laongezeka kwa 13.9%
Deni la serikali hadi Aprili 2023, lilikuwa shilingi bilioni 79,100.19 sawa na ongezeko la asilimia 13.9 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 69,440.01 [...]
Rais Samia ahimiza uhifadhi wa chakula
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutouza nje ya nchi chakula chote kinachovunwa bali kihifadhiwe kwa ajili ya kuongeza akiba itakayosaidi [...]
Manufaa yatakayo patikana baada ya ushirikiano katika ya Serikali na Serikali ya Dubai.
Yafuatayo ni manufaa ambayo yanatarajiwa kupatikana iwapo Bunge letu Tukufu litaridhia Azimio hili na kuwezesha Serikali kuendelea na hatua zinazofuat [...]
Wizara zenye bajeti ndogo mwaka 2023-2024
Macho na masikio ya Watanzania yapo bungeni jijini Dodoma ambako Serikali inatarajia kuwasilisha bajeti yake Juni 15, 2023 ambapo tayari wizara zote z [...]
Bei mpya za mafuta kuanza Juni 7, 2023
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta hapa nchini mwezi Juni, 2023.
Bei hizi zimeaanza [...]
Waliodanganya kuwa ni walemavu wafutiwa maombi ya ajira
Serikali imewapangia vituo vya kazi waajiriwa wapya 18,449 kati ya 21,200 ambao ajira zao zilitangazwa wa kada za ualimu na afya.
Waziri wa Nchi, O [...]
Magazeti ya leo Juni 6,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Juni 6,2023.
[...]

