Tag: habari za burudani

1 27 28 29 30 31 154 290 / 1532 POSTS
Serikali kugharamia msiba wa watu 17 Tanga

Serikali kugharamia msiba wa watu 17 Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kuwa Serikali isimamie msiba wa Watu 17 waliofariki kwa ajali Tanga [...]
Rais Samia aomboleza ajali iliyoua watu 17 mkoani Tanga

Rais Samia aomboleza ajali iliyoua watu 17 mkoani Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kusikitishwa na ajali iliyoua watu 17 mkoani Tanga. Nimesikit [...]
Vijana 147 waliojiunga JKT wabainika kuwa na VVU

Vijana 147 waliojiunga JKT wabainika kuwa na VVU

Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI imesema katika kipindi cha miaka mitatu kilichoanzia 2018, vijana wanaojiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taif [...]
Magazeti ya leo Februari 4,2023

Magazeti ya leo Februari 4,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Februari 4,2023. [...]
Rais afanya uteuzi

Rais afanya uteuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- (1) Amemteua Bi Janet Zebedayo Mbene kuwa Mwenyeki [...]
Lissu: Serikali ibane matumizi

Lissu: Serikali ibane matumizi

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo , (Chadema) amesema sababu ya kupanda kwa gharama za maisha nchi ni kodi ambazo serikali imeziw [...]
Miswada mitatu yaridhiwa na Rais Samia

Miswada mitatu yaridhiwa na Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia miswada mitatu kuwa sheria kamili na tayari zimeanza kutumika. Taarifa hiyo imetolewa leo Bungeni jijini Dodoma [...]
Magazeti ya leo Januari 31,2023

Magazeti ya leo Januari 31,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Januari 31,2023. [...]
Bashe atoa angalizo kilimo cha mtandaoni

Bashe atoa angalizo kilimo cha mtandaoni

Watanzania wameshauriwa kutojihusisha na shughuli za kilimo ambazo zinatangazwa na makampuni mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii, kwani kihalisia h [...]
80% ya kidato cha nne wafeli hesabu

80% ya kidato cha nne wafeli hesabu

Licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kuongeza ubora wa ufaulu katika masomo ya hesabu na sayansi nchini Tanzania miaka ya hivi karibuni, hali bado mba [...]
1 27 28 29 30 31 154 290 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!