Tag: habari za burudani

1 37 38 39 40 41 154 390 / 1532 POSTS
Rais Samia : Tunzeni siri za serikali

Rais Samia : Tunzeni siri za serikali

Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia watunza kumbukumbu na nyaraka nchini kuwa Serikali itawalinda kwa kutambua kada hiyo ni kitovu cha Serikali. [...]
Hatimaye mkataba wa TPA na TICTS wafika tamati

Hatimaye mkataba wa TPA na TICTS wafika tamati

Hatimaye kilio cha wadau wa bandari kimesikika baada ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kusitisha mkataba wake na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya Ku [...]
Jenerali Mabeyo asimikwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Iringa

Jenerali Mabeyo asimikwa kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Iringa

Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amesimikwa rasmi kuwa Mkuu Mpya wa Chuo Kikuu cha Iringa akichukua nafasi ya Askofu Mstaafu [...]
Fidia kulipwa kwa wakazi wa Bonde la Msimbazi

Fidia kulipwa kwa wakazi wa Bonde la Msimbazi

Zaidi ya wananchi 11,000 wanatarajiwa kulipwa fidia Januari mwakani kupisha ujenzi wa daraja la juu la kisasa la Jangwani na uendelezaji wa Bonde la M [...]
Magazeti ya leo Novemba 25,2022

Magazeti ya leo Novemba 25,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 25,2022. [...]
Bei elekezi vifurushi vya simu

Bei elekezi vifurushi vya simu

Serikali imeagiza watoa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi wasibadili bei ya vifurushi vya simu hadi serikali itapotoa bei elekezi Januari mwaka [...]
Magazeti ya leo Novemba 24,2022

Magazeti ya leo Novemba 24,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Novemba 24,2022. [...]
Utendaji kazi wa Rais Samia wamkosha Sumaye

Utendaji kazi wa Rais Samia wamkosha Sumaye

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, anafanya mambo makubwa kwa taifa na faida yake itaonekana miaka ya hivi karib [...]
Mapya yaibuka ajali ya ndege ya Precision Air

Mapya yaibuka ajali ya ndege ya Precision Air

Ripoti ya awali ya ajali ya ndege ya Precision iliyotokea eneo la Ziwa Victoria imeonyesha kwamba mfanyakazi mmoja wa ndege hiyo akishirikiana na abir [...]
76% ya Watanzania hawapigi mswaki

76% ya Watanzania hawapigi mswaki

Asilimi 76.5 ya Watu wazima Tanzania wameoza meno kutokana na kutopiga mswaki. Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dk Barak [...]
1 37 38 39 40 41 154 390 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!