Tag: habari za burudani
Ubalozi wa Marekani kutoa tiketi za bure kuangalia uzinduzi wa Black Panther II
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa taarifa kwamba utatoa tiketi za bure kuhudhuria uzinduzi wa filamu ya "Black Panther" utakaofanyika Century [...]
Tanzania, DRC kuinua uchumi kwa pamoja
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana kushirikiana kujenga miundombinu ya reli ya kisasa na barabara ili kuimarisha biashar [...]
Waziri Mkuu aenda Korea Kusini ziara ya siku tatu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini kwenda Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu [...]
Magazeti ya leo Oktoba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 22,2022.
[...]
Magazeti ya leo Oktoba 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Oktoba 21,2022.
[...]
Rais Samia ahimiza sheria zitafsiriwe kwa Kiswahili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inahitaji sheria madhubuti kuhakikisha kuwa wanawake wanashiriki k [...]
Uzembe wa TICTS, hasara kwa taifa
Kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imesababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha mako [...]
China haifungui kituo cha polisi Tanzania
Watanzania wametakiwa kupuuzia taarifa iliyotolewa na idhaa ya kiswahili ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuwa nchi ya China ina mpango wa [...]
Magazeti ya leo Oktoba 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 20,2022.
[...]
Wapata majisafi baada ya miaka 50
Wananchi wa kijiji cha Namatumu Kata ya Malika Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, wamesema Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA [...]

