Tag: habari za burudani

1 49 50 51 52 53 154 510 / 1532 POSTS
Magazeti ya leo Septemba 30,2022

Magazeti ya leo Septemba 30,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 30,2022. [...]
Tanzania na Falme za Kiarabu zasaini mkataba kuondoa utozaji kodi mara mbili

Tanzania na Falme za Kiarabu zasaini mkataba kuondoa utozaji kodi mara mbili

Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesaini makubaliano ya kuondoa utozaji kodi mara mbili, wadau wametoa maoni tofauti kuhusu faida na hasa [...]
Kapu la Mama latema bil.160 ujenzi wa madarasa 8,000

Kapu la Mama latema bil.160 ujenzi wa madarasa 8,000

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyoweza kupokea wanafun [...]
Bilioni 700 kuwafikishia umeme walio nje ya gridi ya Taifa

Bilioni 700 kuwafikishia umeme walio nje ya gridi ya Taifa

Huenda idadi ya Watanzania wanaotumia umeme ya gridi ya Taifa ikaongezeka siku za hivi karibuni baada ya Benki ya Dunia kutoa ufadhili kwa ajili kupel [...]
Historia yaandikwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mtwara

Historia yaandikwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mtwara

Huduma za kibingwa za Taasisi ya tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) zimeanza kutolewa katika hospitali mpya na ya kisasa ya rufaa ya kanda kusini Mtwara a [...]
Masharti 7 ya Samia Scholarship

Masharti 7 ya Samia Scholarship

Serikali imetangaza masharti saba kwa wanafunzi watakaoomba kunufaika na ufadhili (Samia Scholarship), ikiwemo kuhakikisha kuwa kiwango cha ufaulu hak [...]
Bashungwa asimamisha kazi watano Manyara

Bashungwa asimamisha kazi watano Manyara

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi Maafisa watano Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili kupisha [...]
Magazeti ya leo Septemba 28,2022

Magazeti ya leo Septemba 28,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Septemba 28,2022. [...]
Utaratibu wa kuomba Samia Scholarship

Utaratibu wa kuomba Samia Scholarship

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa maelekezo ya namna kuomba ufadhili wa Samia Scholarship kwa wale waliokidhi vigezo. [...]
Orodha ya waliokidhi ufadhili wa Samia Scholarship

Orodha ya waliokidhi ufadhili wa Samia Scholarship

Hii hapa orodha ya majina ya wanafunzi waliokidhi kupata ufadhili wa Samia Scholarship. [...]
1 49 50 51 52 53 154 510 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!