Tag: habari za burudani

1 60 61 62 63 64 154 620 / 1532 POSTS
Mrema kuzikwa Alhamisi Agosti 25,2022 Moshi

Mrema kuzikwa Alhamisi Agosti 25,2022 Moshi

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP,Agustino Mrema anatarajiwa kuzikwa Alhamisi Agosti 25 katika kijiji cha Kilalacha mkoani Kilimanjaro. Maziko [...]
Maswali utakayoulizwa siku ya Sensa

Maswali utakayoulizwa siku ya Sensa

Ifuatayo ni orodha ya maswali 100 ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022. [...]
Odinga awasilisha pingamizi kieletroniki

Odinga awasilisha pingamizi kieletroniki

Timu ya wanasheria wa mgombea urais wa Azimio Raila Odinga tayari imewasilisha nakala ya kielektroniki ya ombi la kupinga ushindi wa Rais Mteule Willi [...]
Mtoto wa Simbachawene asota mahabusu

Mtoto wa Simbachawene asota mahabusu

Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema bado wanamshikilia mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simb [...]
TRC yaomba nauli iongezeke kwa 15%

TRC yaomba nauli iongezeke kwa 15%

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA-CCC), limesema limepokea maombi ya ongezeko la nauli za treni kwa asilimia 15 kwa k [...]
Shabiki wa Yanga SC afariki

Shabiki wa Yanga SC afariki

Uongozi wa Klabu ya Yanga na Kamati ya Utendaji chini ya Rais Eng.Hersi Said umesema umepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya Mashabiki wa Yanga wa [...]
AfDB yaipatia Tanzania mkopo wa bilioni 175.5 kwa ajili ya wakulima

AfDB yaipatia Tanzania mkopo wa bilioni 175.5 kwa ajili ya wakulima

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), imeipatia Tanzania mkopo wa masharti nafuu wa Dola za Marekani milioni 75 (Sh. bilioni 175.5) kusaidia upatikanaj [...]
Rais Samia aridhia siku ya sensa kuwa ni mapumziko

Rais Samia aridhia siku ya sensa kuwa ni mapumziko

Taarifa kutoka kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa imeeleza kwamba Rais Samia Suluhu ameridhia siku ya sensa Agosti 23,2022 kuwa siku ya mapum [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Agosti 17,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Agosti 17,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Agosti 17,2022. Husikubali kupitwa, https://www.youtube.com/watch?v=78Zf- [...]
Shaka awasha moto Kaliua

Shaka awasha moto Kaliua

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hiko hakiko tayari kuona wala kusikia mtendaji wa [...]
1 60 61 62 63 64 154 620 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!