Tag: habari za kimataifa

1 99 100 101 102 103 164 1010 / 1634 POSTS
Mshindi wa ‘Nobel Prize’ arejea Zanzibar

Mshindi wa ‘Nobel Prize’ arejea Zanzibar

Mshindi wa Tuzo ya Fasihi ya Nobel 2021 Prof. Abdulrazak Gurnah ameitikia wito wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein M [...]
Kikokotoo kipya Julai Mosi

Kikokotoo kipya Julai Mosi

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu ametangaza rasmi kanuni mpya ya Mafao ya Pensheni kufuatia [...]
Vijana 100 wapewa mtaji wa nguruwe

Vijana 100 wapewa mtaji wa nguruwe

Vijana 100 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamepewa msaada wa nguruwe 100 na halmashauri hiyo ikishirikiana na mradi wa Youth Ag [...]
Mwendokasi 1,500

Mwendokasi 1,500

Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) ikitarajia kufanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi yaendeyo haraka maarufu mwendokasi, Wakala wa [...]
Sababu ya Rais Samia kuelekeza tuzo kwa Magufuli

Sababu ya Rais Samia kuelekeza tuzo kwa Magufuli

Licha ya kupata tuzo ya heshima kuhusu ujenzi wa barabara barani Africa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameelekeza tuzo hiyo kwa mtangulizi wake [...]
Magazeti ya leo Mei 26,2022

Magazeti ya leo Mei 26,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Mei 26,2022. [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 26, 2022

Viwango vya kubadili fedha Mei 26, 2022

Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Mtwara wang’oa vibao vya anuani za makazi

Mtwara wang’oa vibao vya anuani za makazi

Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imeeleza kusikitishwa na vitendo vya baadhi ya wananchi vya kung’oa vibao vya anuani ya makazi. Kufuati [...]
Nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni

Nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni

Job vacancies Kigamboni Municipal Council May 2022: Chief Executive Director of Kigamboni Municipal Council invites all Tanzanian citizens to fill vac [...]
Todd Boehly ainunua Chelsea

Todd Boehly ainunua Chelsea

Baada ya miaka 19 chini ya uongozi wa Roman Abramovich wa raia wa Urusi-Israeli, klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza, Chelsea sasa kuhamia mkononi mw [...]
1 99 100 101 102 103 164 1010 / 1634 POSTS
error: Content is protected !!