Tag: habari za kimataifa

1 148 149 150 151 152 171 1500 / 1707 POSTS
Furahia wikiendi na filamu ya ‘The girl allergic to Wi-Fi’

Furahia wikiendi na filamu ya ‘The girl allergic to Wi-Fi’

Huwenda ukawa umewahi kusikia magonjwa mengi lakini je, umeshawahi kusikia ugonjwa wa mtu kutoruhusiwa kuwa karibu na sehemu yenye mtandao au kutumia [...]
Serikali yaweka neno matukio ya mauaji

Serikali yaweka neno matukio ya mauaji

Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum chini ya waziri Dk. Doroth Gwajima, imezitaka kamati za kupinga ukat [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 3,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 3,2022

Hizo hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa; https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Rais wa Liberia aanika siri za mkewe

Rais wa Liberia aanika siri za mkewe

Rais George Weah wa Liberia amesababisha taharuki nchini humo baada ya kuzindua kitabu chake huku wanawake nchini Liberia wakijiandaa kuandamana kwa k [...]
Vipaumbele vya Zuhura Yunus baada ya uteuzi

Vipaumbele vya Zuhura Yunus baada ya uteuzi

Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ame [...]
Ijue safari ya mahusiano ya Rihanna

Ijue safari ya mahusiano ya Rihanna

Hatimaye Rihanna amepata mwenza ambaye anamfanya ajione kama msichana pekee kwenye dunia hii kama asemavyo  katika wimbo wake wa ‘Only girl in the wor [...]
Mtoto auawa na kutolewa sehemu za siri

Mtoto auawa na kutolewa sehemu za siri

Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Tutuo, wilayani Sokonge , Mkoa wa Tabora, Maria Ngassa(13) ameuawa kikatili wakati akienda kisimani [...]
Ahueni kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa

Ahueni kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa

Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya petroli na mafuta ya taa huku bei ya dizeli ikiongezeka [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 1, 2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 1, 2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa; https://www.youtube.com/watch?v=PkXxm2tCtgs&list=PLq [...]
Hii hapa siri ya ushindi wa Tulia

Hii hapa siri ya ushindi wa Tulia

Historia imeandikwa tena nchini Tanzania kwa namna ambavyo Dkt. Tulia Ackson ameibuka mshindi wa nafasi ya spika kwa kupata kura 376 sawa na 100% ya k [...]
1 148 149 150 151 152 171 1500 / 1707 POSTS
error: Content is protected !!