Tag: habari za kimataifa
Tazama video zinazo-trend Youtube Desemba 17, 2021
Hizi hapa video zinazopeta kwenye mtandao wa Youtube Tanzania leo Ijumaa Desemba 17, 2021. Husikubali kupitwa:
https://www.youtube.com/watch?v=2x03 [...]
Fahamu kirusi kipya cha Corona aina ya Omicron
Kwanza kabisa tambua kwamba kirusi hicho hakizalishwi maabara kama watu wengi wanavyozusha kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. Ukweli ni kwamba huu [...]
Chukua tahadhari hizi mwisho huu wa mwaka
Wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka, watu hutumia muda wao kuwatembelea ndugu, marafiki na wapendwa wao katika maeneo mbalimbali. Tofauti na miak [...]
Watu maarufu walionunua magari 2021
Mwaka 2021 umekuwa na changamoto kwa wengi ikiwa ni pamoja na janga la Covid- 19, biashara nyingi zilikwama na nyingine kuwa vilema hali iliyofanya ma [...]
Madalali sasa ni rasmi, kuanza usajili Januari 2022
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi ametoa mwongozo wa kusimamia shughuli za udalali nchini ili kuwatambua, kutambua shughu [...]
Magazeti ya leo Desemba 16, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Desemba 16, 2021. [...]
Magazeti ya leo Desemba 15, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Desemba 15, 2021. [...]
Magazeti ya leo Desemba 14, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyoriji katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Desemba 14, 2021. [...]
Ukitaka uzuri lazima udhurike
Sio jambo la kushangaza katika miji mikubwa kama Dar es Salaam kuona vijana wakiwa wamebeba vikapu vyenye nyenzo za kutengenezea kucha na kuzunguka na [...]
Magazeti ya leo Desemba 13, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Desemba 13, 2021. [...]

