Tag: habari za kimataifa
Rais Samia Suluhu ayataka mashirika ya umma kujitegemea na kuongeza kipato
Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika ya umma kujitegemea ili kuongeza kipato kitakachopunguza mzigo wa utegemezi kwa Serikali na kukuza uchumi [...]
Maswali Sita kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)
Na Shemasi George Rugambwa
Seminari ya Ntungamo, Bukoba
Leo TEC imetoa tamko lake kuhusu mkataba wa kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam kati ya Ta [...]
Elimu ya msingi mwisho darasa la sita
Taasisi ya Elimu Tanzania imetoa mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la sita 2023.
Muundo wa mtaala huo umebadilika na sasa eli [...]
Nape: Hakuna aliyekamatwa kwa kukosoa mkataba wa bandari
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Balozi Mstaafu Dkt. Willibrod Slaa, Mpa [...]
Ufahamu uhaini, moja ya tishio kubwa zaidi la amani kwa nchi yoyote duniani
Agosti 10 mwaka huu Wakili Boniface Anyisile Mwabukusi alisimama nje ya Mahakama Jijini Mbeya na kusema kwamba anapinga uamuzi wa mahakama kutupilia m [...]
Tumieni maziwa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji
Rais Samia Suluhu Hassan ameziagiza wizara zinazohusika na kilimo na uvivu kufanya mchakato wa kuvuta maji kutoka kwenye maziwa yaliyopo nchini ili ya [...]
Serikali yatoa msamaha wa kodi matrekta kutoka nje
Sekta ya kilimo nchini imepata misamaha ya kodi katika eneo la kuagiza matrekta nje ya nchi lengo likiwa ni kusaidia kilimo nchini.
Ofisa kutoka Ma [...]
Mradi wa Kawe Beach mbioni kuanza baada ya kusitishwa kwa miaka 7
Mradi mkubwa wa mali isiyohamishika maarufu kama Seven-Eleven (711) ulioko katika eneo la Mbezi Beach/Kawe roundabout jijini Dar es Salaam unatarajiwa [...]
IMF yaipongeza Tanzania kwa utulivu wa kiuchumi
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani (IMF), Bo Li, ameipongeza Tanzania kuwa na utulivu wa kiuchumi wakati ambao kimataifa mazingira [...]
Onyo kwa wanasiasa wanaotumia matusi kwenye mikutano
Viongozi wa vyama vya siasa nchini wamekemea tabia ya baadhi ya wanasiasa wenzao wanaotumia vibaya nafasi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya [...]