Tag: habari za kimataifa
Gesi asilia ya Mtwara kusambazwa malawi
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole amesema mazungumzo kati ya Tanzania na Serikali ya Malawi ya Tanzania kuiuzia gesi asilia inayozal [...]
Vijana 812 wachaguliwa kujiunga programu ya kilimo
Vijana 812 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo maalumu ya Kilimo yanayoratibiwa na Wizara ya Kilimo.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametangaza majin [...]
Magazeti ya leo Februari 24,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Februari 24,2023.
[...]
R. Kelly ahukumiwa miaka 20 jela
Mwimbaji wa Marekani Robert Kelly, maarufu R. Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono.
Kesi zisizoisha zim [...]
Magazeti ya leo Februari 23,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Februari 23,2023.
[...]
Magazeti ya leo Februari 22,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Februari 22,2023.
[...]
Milioni 5 kila goli mechi zote za CAF
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa [...]
Fahamu kuhusu kimbunga ‘Freddy’
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa kimbunga ‘Freddy’ kilichopo kusini magharibi mwa bahari ya Hindi karibu na p [...]
Ndoto ya 1975 yatimizwa na Rais Samia
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kujenga upya [...]