Tag: habari za kimataifa
Magazeti ya leo Januari 24,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Januari 24,2023.
[...]
Mashabiki wa Arsenal wakamatwa
Polisi nchini Uganda imewakamata mashabiki 20 wanaoshangilia timu ya Arsenal baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Manchester United katika mchezo ul [...]
Nafasi za kazi 320 TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imetangaza nafasi 320 za kazi kwa vijana wa Kitanzania wenye umri usiozidi miaka 30.
Nafasi hiz [...]
Vipipi vyapigwa marufuku Zanzibar
Mamlaka ya Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imepiga marufuku bidhaa aina ya Lump Sugar maarufu ‘Vipipi utamu’ vinavyodaiwa kutumiwa na baadhi ya wanaw [...]
Magazeti ya leo Januari 19,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Januari 19,2023.
[...]
Bashe aagiza kukamatwa waliotupa parachichi
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuni ya Candia Fresh pamoja na kuifunga kampuni hiyo, kwa kile alichoeleza kuwa i [...]
Kirusi kipya cha Uviko-19
Ingawa si jambo linalozungumzwa sana kwa sasa, lakini wasiwasi unaendelea kuongezeka kwa wanayansi ambao wanajaribu kutafuta ufumbuzi wa kukabiliana [...]
Magazeti ya leo Januari 17,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Januari 17,2023.
[...]
Mita 111 za maji zajazwa Bwawa la Nyerere
Serikali imesema hadi jana asubuhi, mita za maji 111 juu ya usawa wa bahari zilikuwa zimejazwa katika mradi wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme kwa m [...]
Fahamu kuhusu asali
Wengi wetu tumezoea asali kwa matumizi ya kula lakini kama ulikua hujui pia ni tiba ya ngozi pamoja na kuzui chunusi.
Kutokana na uwezo wa asali ku [...]