Tag: habari za kimataifa

1 55 56 57 58 59 171 570 / 1707 POSTS
Serikali yatangaza mgawo wa maji Dar na Pwani

Serikali yatangaza mgawo wa maji Dar na Pwani

Serikali imetangaza mgawo wa maji kwa wakazi wa Dar es Salaam na Pwani kwa sababu za kupungua kwa vyanzo vya maji vya Mto Ruvu Juu na Ruvu Chini. B [...]
Mabehewa ya SGR yamkosha Waziri Majaliwa

Mabehewa ya SGR yamkosha Waziri Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ameridhishwa na kasi ya utengenezwaji wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzan [...]
Magazeti ya leo Oktoba 26,2022

Magazeti ya leo Oktoba 26,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Oktoba 26,2022. [...]
Serikali imeifungia Shule ya Chalinze Modern Islamic

Serikali imeifungia Shule ya Chalinze Modern Islamic

Serikali imeifungia Shule ya Awali an Sekondari ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani kwa muda usiojulikana kwa mujibu wa kifungu cha 4 ( [...]
Kweli walibadilishiwa namba za mtihani

Kweli walibadilishiwa namba za mtihani

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa baraza la Mitihani limejiridhisha kwamba watahiniwa katika shule ya Chalinze Mo [...]
Watumiaji wa intaneti waongezeka kwa 6.7%

Watumiaji wa intaneti waongezeka kwa 6.7%

Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyesha laini za simu zinazotumiwa na watu kwa ajili ya mawasiliano zimefikia milioni 58.1 Septemb [...]
Ubalozi wa Marekani kutoa tiketi za bure kuangalia uzinduzi wa Black Panther II

Ubalozi wa Marekani kutoa tiketi za bure kuangalia uzinduzi wa Black Panther II

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa taarifa kwamba utatoa tiketi za bure kuhudhuria uzinduzi wa filamu ya "Black Panther" utakaofanyika Century [...]
Rais Samia afanya uteuzi

Rais Samia afanya uteuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi kama ifuatavyo:- [...]
Moto Mlima Kilimanjaro

Moto Mlima Kilimanjaro

Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana, umezuka katika mlima Kilimanjaro, karibu na eneo la Karanga Camp lililopo urefu wa meta 3,963 kutoka [...]
Magazeti ya leo Oktoba 22,2022

Magazeti ya leo Oktoba 22,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 22,2022. [...]
1 55 56 57 58 59 171 570 / 1707 POSTS
error: Content is protected !!