Tag: habari za kimataifa
Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka sababu ya moshi wa kupikia
Wastani wa Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia.
Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana jijini Dodoma, [...]
Rais Samia : Watanzania wekezeni Msumbiji
Rais Samia Suluhu amewataka Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini Msumbiji kutumia fursa ya ushirikiano wa nchi hizo mbili kuwekeza kwa faid [...]
Tanzania kuchangia bilioni 2.3 Global Fund
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango a,etoa mwito kwa mataifa duniani kuungana katika kutoa mchango kwa Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua K [...]
Magazeti ya leo Septemba 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 23,2022.
[...]
Ahadi ya Makamba yatimia Kigoma
Itakumbukwa wakati akiwasilisha Bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati Juni 2,mwaka 2022, Waziri wa Nishati, January Makamba alikitaja kipaumbe [...]
Ashikiliwa kwa kumuua mkewe baada ya kumuota mchawi
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Inala, Ali Mkonongo kwa tuhuma za kumuua mke wake, Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu k [...]
Namba za simu za Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs)
Kama Mtanzania ni vyema ukawa na namba za simu hizi za wakuu wa polisi wilaya (OCDs) ili uweze kupata huduma sahihi kwa haraka.
OCD CHAMWINO
65988 [...]
Tanzania yang’ara kuwa na usalama wa mtandao
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya pili katika kielezo cha usalama wa mtandao (GCI) kwa mawaka 2020, wka mujibu wa Shirika la Mawasiliano la Kimataifa (IT [...]
Magazeti ya leo Septemba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Septemba 22,2022.
[...]
Tanzania na Msumbiji mambo safi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wameshuhudia utiaj [...]